Posted on: April 29th, 2025
Kamati ya Afya ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa (CHMT) imetoa mafunzo maalum kwa wataalamu wa afya, viongozi wa dini, na wazee maarufu kuhusu umuhimu wa utoaji wa chanjo ya pili ya sindano ya polio. ...
Posted on: April 28th, 2025
Timu ya Madaktari Bingwa kutoka Hospital ya Oceani Road wakitimiza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan imetembelea Ofisi ya za Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ...
Posted on: April 26th, 2025
Katika kuadhimisha Miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tangu mwaka 1964, Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa imefanya zoezi la usafi wa mazingira na upandaji miti katika Kituo cha Afya Masoko ka...