IDARA YA MIFUGO NA UVUVI
Idara ya mifugo na uvuvi katika Halmashauri ya wilaya ya Kilwa ina jumla ya watumishi 33, kati ya hao wanaume ni 26 na wanawake ni 7. Watumishi hawa wametawanyika kuanzia makao makuu ya wilaya, kata, tarafa na vijiji.
Kwa ujumla idadi ya watumishi wa idara ya mifugo ni wachache sana ukilinganisha na mahitaji ya vijiji 90, kata 23, tarafa 6. Wananchi wa halmashauri ya wilaya ya kilwa wanajishughulisha na na ufugaji wa wanyama kama ng’ombe, mbuzi, kondoo, kuku, sungura, bata, bata mzinga, kanga, paka na mbwa.
Nyanda za malisho zilizopo ni zaidi ya Ha. 531,544 ambazo zina wa kutunza ng’ombe zaidi ya 270,000 kwa mwaka.
MAJUKUMU YA IDARA
Kazi kubwa zinazofanywa na watumishi wa idara ya Mifugo na Uvuvi ni kama ifuatavyo:-
Kilwa Masoko
Anuani ya Posta: 160
Simu: 0672365354
Simu: 0672581557
Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa