Ndg.Francis Kaunda
Idaraya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
Majukumu
i. Kuratibu Mipango, Utekelezaji, Usimamizi natathmini miradi ya Maendeleo katika Wilaya
ii. Kuandaa taarifa za utekelezaji kila robo mwaka ,
iii. Kuandaa taarifa ya Ilani ya Uchaguzi Kila miezisita
iv.Kuandaa taarifa za Mafanikio za Serikali iliyokomadarakani
v. Kuandaa kalenda ya utekelezaji Miradi ya Maendeleo(Action Plan)
vi.Kuimarisha program ya uwekezaji
Mafanikio
i. Taarifa mbalimbali zakila robo katika kipindi cha miaka mitano zimeandaliwa na kuwasilishwa katikamamlaka husika
ii. Mpango Mkakati wamiaka Mitano umeandaliwa kwa utekelezaji
iii. Mpango wa utekelezaji naBajeti ya Halmashauri imeweza kuandaliwa kila mwaka
iv. Sera na miongozombalimbali ya Serikali imeweza kutafsiriwa na kutekelezwa katika ngazi yaHamashauri
Changamoto
i. Ucheleweshwaji wa fedhaza miradi ya maendeleo unaopelekea miradi kutokamilika kwa wakati
ii. Ushiriki hafifu waWananchi katika utekelezaji wa miradi ya Maendeleo
iii. Wanachi kutotambuaumuhimu wa kuchangia miradi mbalimbali ya maendeleo
Kilwa Masoko
Anuani ya Posta: 160
Simu: 0672365354
Simu: 0672581557
Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa