Halmashauri ya wilaya ya kilwa kupitia idara ya Afya tunatoa Huduma mbalimbali kwa ajili ya ustawi wa wananchi wetu na Taifa kwa ujumla, kupitia Vituo vyetu vya Afya, Zahanati na Hospitali tunatoa huduma zifuatazo:-
Kumhudumia mgonjwa wa kawaida.
Kumhudumia mgonjwa wa ushauri nasaha.
Kuagiza madawa kutoka MSD.
Kutoa elimu ya afya kwa Vikundi.
Kushughulikia magonjwa ya mlipuko.
Kutoa huduma kwa wagonjwa wa wodini.
Kushughulikia wagonjwa walioathirika na VVU- (CTC).
Kutembelea jamii majumbani kuhamasisha masuala ya afya.
Kujibu barua/malalamiko ya wateja.
Kilwa Masoko
Anuani ya Posta: 160
Simu: 0672365354
Simu: 0672581557
Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa