• Malalamiko |
    • Anuani Zetu |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Kilwa District Council
Kilwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Mikakati ya Halmashauri
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Utumishi na Utawala
      • Elimu ya Msingi
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Usafi na Mazingira
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Biashara
      • TASAF
      • Lishe
      • Uvuvi
    • Miji Midogo
      • Masoko
      • Kivinje
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uwekezaji
    • Biashara na Viwanda
    • Madini
    • Uvuvi
    • Utalii
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Mikopo kina Mama na Vijana
    • Huduma za Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayo tekelezwa
  • Machapisho
    • Muongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Mifumo
    • PlanRep
    • FFARS
    • Prem
    • Salary Slip Portal

Sheria

Kitengo cha Sheria katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ni moja kati ya vitengo vitano vinavyowajibika moja kwa moja kwa Mkurugenzi wa Halmashauri na majukumu yake makuu ni kuishauri Halmashauri kuhusiana na masuala ya  kisheria, kutetea maslahi ya Halmashauri na kuandaa mikataba na makubaliano mbalimbali yanayohusu masuala ya kisheria hususani katika :-

  1. Kutetea maslahi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa katika kesi mbalimbali zilizofunguliwa dhidi ya Halmashauri au zilizofunguliwa na Halmashauri dhidi ya watu/Taasisi au makampuni mbalimbali.
  2. Kutoa ushauri wa kisheria kwa mamlaka mbalimbali / watu binafsi kuhusiana na sheria mbalimbali
  3. Kusimamia uendeshaji wa kesi katika Mahakama za Wilaya.
  4. Kusimamia shughuli zote za ulinzi na usalama  juu ya mali za Halmashauri ya wilaya ya Kilwa.
  5. Kuandaa mikataba na makubaliano mbalimbali kati ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, watu, makampuni, pamoja na taasisi nyingine.
  6. Kusimamia na kuratibu mabaraza ya kata.

  7. Kuandaa na kusimamia rasimu za Sheria ndogo za Halmashauri.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOCHAGULIWA KUSHIRIKI ZOEZI LA SENSA 2022. July 25, 2022
  • TANGAZO LA KAZI September 03, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KILWA DC. September 23, 2021
  • Matokeo ya usaili wa mchujo kwa nafasi ya Mtendaji wa kijiji tarehe 30/09/2021 September 30, 2021
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • BILIONI 266 KUJENGA BANDARI YA UVUVI KILWA

    June 15, 2022
  • Tsh:Bilion 50 kuanza ujenzi wa bandari ya uvuvi kilwa

    May 27, 2022
  • NMB yatowa msaada wa vitu vyenye Thamani TSh. 25,700,000/= kwenye shule 5 kilwa.

    February 02, 2022
  • Milioni 250. kumaliza ujenzi wa majengo mawiliki kituo cha Afya

    January 01, 2022
  • Tazama Zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Akipokea Mwenge wa Uhuru.
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • TARURA GPN
  • Watumishi Portal
  • MIKOPO 10%
  • Mikopo ya Wanawake na Vijana
  • Huduma za Elimu

Tovuti Muhimu

  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu
  • Lindi

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani Zetu

    Kilwa Masoko

    Anuani ya Posta: 160

    Simu: +255 23 201 3241/65

    Simu: 0672581557

    Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Kanuni Binafsi
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa