Idara za Elimu Msingi na Sekondari zinajishughulisha na majukumu ya Kusimamia, Kuinua na Kuboresha Maendeleo ya Elimu Wilayani. Aidha huduma zinazotolewa ni: Elimu ya Awali, Elimu ya Msingi, Elimu ya Ufundi Stadi, Elimu kwa watoto wenye mahitaji maalumu, Elimu ya sekondari, Elimu ya Watu Wazimu ambayo imagawanyika katika sehemu kuu nne nazo ni Elimu Nje ya Mfumo, Elimu ya Ufundi, Mukeja na MEMKWA.
Wilaya ina jumla ya shule za Msingi zilizosajiliwa 108 na shule za vitongoji (Satelite) 5 zenye jumla ya wanafunzi 52,127 kati yao wavulana ni 25,976 na wasichana 26,151.
Kilwa Masoko
Anuani ya Posta: 160
Simu: 0672365354
Simu: 0672581557
Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa