• Malalamiko |
    • Anuani Zetu |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Kilwa District Council
Kilwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Mikakati ya Halmashauri
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Utumishi na Utawala
      • Elimu ya Msingi
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Usafi na Mazingira
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Biashara
      • TASAF
      • Lishe
      • Uvuvi
    • Miji Midogo
      • Masoko
      • Kivinje
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uwekezaji
    • Biashara na Viwanda
    • Madini
    • Uvuvi
    • Utalii
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Mikopo kina Mama na Vijana
    • Huduma za Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayo tekelezwa
  • Machapisho
    • Muongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Mifumo
    • PlanRep
    • FFARS
    • Prem
    • Salary Slip Portal

Uvuvi

Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ina fursa nyingi za uwekezaji katika sekta ya uvuvi. Ina eneo zuri kwa ajili ya ufugaji wa viumbe wa baharini kama samaki, kaa, kamba koche na mwani. Vilevile kuna fursa kubwa ya uanzishwaji wa viwanda vya uchakataji wa mazao ya uvuvi kutokana na upatikanaji samaki wa aina nyingi. Pia Wilaya ya Kilwa ina sehemu nzuri zinazoweza kutumika kwa ajili ya uvuvi wa kitalii utakao saidia kuongeza pato la Halmashauri na Taifa kwa ujumla.

SEHEMU KUU ZA FURSA ZA UWEKEZAJI 

Ufugaji wa samaki;

Kuna maeneo mazuri ya kuchimba mabwawa ya maji chumvi na maji baridi na hali ya hewa nzuri kwa ajili ya ufugaji wa samaki aina ya tilapia, kambale, Mkuyuyu, fursa zilizopo katika ufugaji wa samaki ni;-

  • Uanzishwaji wa vituo cha kuzalisha mbegu bora za samaki na vyakula vya samaki
  • Maeneo mazuri kwa ufugaji mdogo, wa kati na mkubwa
  • Kuwekeza katika ufugaji wa Chaza, Kaa,
  • Uzalishaji wa mazao ya samaki na kuongeza thamani kwa masoko ya ndani na nje.

Zana za Uvuvi na Teknolojia

  • Uzalishaji wa zana na vifaa vingine vya uvuvi na usambazaji kama vile Nyavu na vifaa vya kuogelea
  • Uingizaji wa zana na vifaa vya uvuvi na usambazaji
  • Viwanda vya kuchakata Pweza

Uongezaji thamani ya mazao ya uvuvi

  • Ujenzi wa soko la kisasa la mazao ya samaki.
  • Ujenzi wa viwanda vya kuchakata samaki

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOCHAGULIWA KUSHIRIKI ZOEZI LA SENSA 2022. July 25, 2022
  • TANGAZO LA KAZI September 03, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KILWA DC. September 23, 2021
  • Matokeo ya usaili wa mchujo kwa nafasi ya Mtendaji wa kijiji tarehe 30/09/2021 September 30, 2021
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • BILIONI 266 KUJENGA BANDARI YA UVUVI KILWA

    June 15, 2022
  • Tsh:Bilion 50 kuanza ujenzi wa bandari ya uvuvi kilwa

    May 27, 2022
  • NMB yatowa msaada wa vitu vyenye Thamani TSh. 25,700,000/= kwenye shule 5 kilwa.

    February 02, 2022
  • Milioni 250. kumaliza ujenzi wa majengo mawiliki kituo cha Afya

    January 01, 2022
  • Tazama Zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Akipokea Mwenge wa Uhuru.
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • TARURA GPN
  • Watumishi Portal
  • MIKOPO 10%
  • Mikopo ya Wanawake na Vijana
  • Huduma za Elimu

Tovuti Muhimu

  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu
  • Lindi

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani Zetu

    Kilwa Masoko

    Anuani ya Posta: 160

    Simu: +255 23 201 3241/65

    Simu: 0672581557

    Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Kanuni Binafsi
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa