Posted on: August 29th, 2018
Watu wanne wamekamatwa katika bahari ya Hindi wilayani Kilwa mkoani Lindi kwakukutwa wakivua jongoo wa bahari na kamba kochi kwa kutumia Dhana haramu za uvuvi.
Akieleza tukio hilo ofisa uvuvi wa ...
Posted on: August 29th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Mkoa wa Lindi, Mhe. Christopher Ngubiagai amewaasa Wananchi Wilayani humo kujiunga na Mifuko ya afya ili wajiandae kutibiwa kirahisi pindi wakipata magonjwa.
Ngubiagai ali...
Posted on: August 20th, 2018
ORODHA YA WALIMU WA MASOMO YA SAYANSI, HISABATI, FUNDI SANIFU MAABARA NA LUGHA(LITERATURE IN ENGLISH) WA AJIRA MPYA WALIOPANGIWA VITUO VYA
KAZI KWENYE SHULE ZA SEKONDARI AGOSTI, 2018 bofya hapa oro...