Posted on: June 13th, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa imeshiriki kwa mafanikio makubwa katika Maonesho ya Madini na Fursa za Uwekezaji (LINDI MINING EXPO 2025), ambayo yamewaleta pamoja wadau wa maendeleo, wawekezaji na wan...
Posted on: June 12th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Kanali Patrick Kenan Sawala, ameelezea Maonesho ya Madini ya Lindi Mining Expo 2025 kama nguzo muhimu ya maendeleo ya kiuchumi kwa mikoa ya kusini.
Akizungumza...
Posted on: June 11th, 2025
Maonesho ya madini yanayoendelea katika viwanja vya Madini wilayani Ruangwa, yameanza kwa mafanikio makubwa, yakifungua milango ya fursa lukuki kwa wananchi na wawekezaji ndani na nje ya nchi.
...