• Malalamiko |
    • Anuani Zetu |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Kilwa District Council
Kilwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Mikakati ya Halmashauri
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Utumishi na Utawala
      • Elimu ya Msingi
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Usafi na Mazingira
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Biashara
      • TASAF
      • Lishe
      • Uvuvi
    • Miji Midogo
      • Masoko
      • Kivinje
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uwekezaji
    • Biashara na Viwanda
    • Madini
    • Uvuvi
    • Utalii
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Mikopo kina Mama na Vijana
    • Huduma za Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayo tekelezwa
  • Machapisho
    • Muongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Mifumo
    • PlanRep
    • FFARS
    • Prem
    • Salary Slip Portal

SEA SENSE YATOA MAFUNZO UWASILISHAJI WA TAKWIMU KIDIGITALI KWA BMU KILWA KUSINI

Posted on: May 13th, 2025

Shirika la Sea Sense limetoa mafunzo maalum juu ya uwasilishaji wa takwimu kupitia mfumo wa kidigitali wa ukusanyaji Takwimu (Kobo Collect) kwa Wakusanya Takwimu katika Vikundi vya Usimamizi wa Rasilimali za Bahari (BMU) kutoka Kilwa Kusini. Mafunzo hayo yamefanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi (FDC) Kilwa Kuanzia Tarehe 13 hadi 15 May 2025.

Lengo kuu la Mafunzo hayo ni kuwezesha upatikanaji wa taarifa sahihi na za kweli kuhusu rasilimali za bahari, ili kusaidia kuongeza mapato ya Halmashauri na taifa kwa ujumla. Kupitia matumizi ya mfumo wa kidigitali, wakusanya takwimu wataweza kurahisisha ukusanyaji na utoaji wa taarifa muhimu zinazohusiana na shughuli za uvuvi na matumizi ya rasilimali za bahari.

Akitoa mafunzo hayo, Afisa Ufuatiliaji,Tathmini na Mafunzo kutoka Sea Sense, Ndg. Ambonisye Haule, amesisitiza washiriki kutumia vyema elimu waliyoipata katika kutunza na kuwasilisha takwimu sahihi ambapo ameeleza kuwa taarifa sahihi ni msingi muhimu wa kupanga na kutekeleza sera bora za usimamizi wa rasilimali za bahari.

“Tunatarajia kuona mabadiliko chanya kupitia matumizi ya mfumo huu wa kidigitali katika ukusanyaji wa takwimu. Hii itasaidia kuongeza uwazi, uwajibikaji na hatimaye kukuza uchumi wa jamii na taifa,” amesema Ndg.Haule.

Kadhalika Afisa Uvuvi Wilaya ya Kilwa Ndg. Ulimboka Ndile amelipongeza Shirika la Sea Sense kwa kuandaa mafunzo hayo  ambayo yataenda kusaidia kuongeza mapato na kuleta maendeleo katika Sekta ya Uvuvi hususani katika kutunza na kulinda rasilimali za Bahari.

Moja ya Washiriki katika Mafunzo hayo Bw. Hassan Mtalika ametoa shukrani kwa Shirika la Sea Sense juu ya Mafunzo ya uwasilishaji wa Takwimu kidigitali kwani hii itaenda kuwasaidia katika kuondoa Changamoto za uwasilishaji wa taarifa zao ikiwemo umbali na kupunuza gharama za kutumia makaratsi kama ilivyokuwa hapo awali.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI HALMASHAURI YA WILAYA YA KILWA September 03, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 04, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 11, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • KILWA DC YAANZA KWA KISHINDO SHIMISEMITA

    August 16, 2025
  • MTANDAO WA BMU WAELEZA FAIDA ZA ZIARA YA MAFUNZO MKOANI TANGA

    August 15, 2025
  • DED NA TIMU YA UFUATILIAJI KILWA WAFANYA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO

    August 14, 2025
  • KAMATI ZA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA MAJIMAJI KILWA ZAKUTANA KUJADILI MAANDALIZI YA SHEREHE HIZO

    August 13, 2025
  • Tazama Zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Akipokea Mwenge wa Uhuru.
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • TARURA GPN
  • Watumishi Portal
  • MIKOPO 10%
  • Mikopo ya Wanawake na Vijana
  • Huduma za Elimu

Tovuti Muhimu

  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu
  • Lindi

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani Zetu

    Kilwa Masoko

    Anuani ya Posta: 160

    Simu: 0672365354

    Simu: 0672581557

    Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Kanuni Binafsi
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa