Posted on: November 1st, 2018
Mkuu wa mkoa wa Lindi Mhe. Godfrey Zambi amewataka wananchi wanaoishi katika vijiji vinavyomiliki Misitu kuweka mipango endelevu ya kuhifadhi Misitu hiyo.
Wito huo ameutoa ...
Posted on: October 31st, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Godfrey Zambi amewataka wakuu wa Wilaya zinazounda Mkoa huo kuunda Kamati za kutatua na kushughulikia migogoro ya wafugaji na wakulima katika Wilaya zao.
Zambi ametoa ...
Posted on: October 28th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa lindi Mhe. Godfrey Zambi ameiomba Wizara ya maliasili na utalii kuutazama Mkoa wa Lindi kwa Jicho Tatu katika sekta ya utalii.
Ombi hilo ameliwasilisha leo Oktoba 28 katika hi...