Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Mhe. Christopher Ngubiagai amepiga Marufuku Uvuvi wa Chupa Pamoja na Uvuvi wa Dagaa Mchana.
Amesemaayo alipoalikwa katika kikao cha kamati ya Fedha na mipango katika Mamlaka ya mji mdogo kilwa kivinje.Aidha mkuu wa wilaya ameviagiza vyo vya Ulinzi na Usalama kuchukua hatua kali za kisheria kwa yeyote atakaefanya uvuvi huu haramu.Pia amewataka wataalamu wa Serikali pamoja na Wajumbe wa Kamati kusimamia na kulinda mapato ya serikali.
Kilwa Masoko
Anuani ya Posta: 160
Simu: 0672365354
Simu: 0672581557
Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa