TANGAZO
NAFASI YA KAZI.
MTAALAM WA X-RAY ANAHITAJIKA HOSPITALI YA WILAYA YA KILWA (KINYONGA)
SIFA ZA MUOMBAJI
AWE AMESOMEA RADIOLOGY KATIKA NGAZI YA ASTASHAHADA (CERTIFICATE) AU STASHAHADA (DIPLOMA)
MAOMBI YAFIKISHWE
YAKIWA YAMEAMBATANISHWA NA NAKALA ZA VYETI VYA TAALUMA TAJWA.
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 30.04.2018
KWA MAELEZO ZAIDI
0623999037, 0716508756, 0786774224
IMETOLEWA NA UONGOZI WA HOSPITALI YA WILAYA KILWA (KINYONGA)
KUPITIA- KITENGO CHA HABARI NA MAWASILIANO
Kilwa Masoko
Anuani ya Posta: 160
Simu: 0672365354
Simu: 0672581557
Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa