Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Kilwa wakiongozwa na Mwenyekiti wake Ndg. Said Ally Timamy wakikagua mradi wa maji unaotekelezwa chini ya Wakala wa Usambazaji wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) katika kijiji cha Mchakama Kata ya Mandawa wenye thamani ya Tsh. Bilioni 44. Hatua hii ni mwendelezo wa ziara ya siku mbili ya kamati ya Siasa Wilaya ya kilwa kukagua miradi ya maendeleo inayo tekelezwa Wilayani humo. Ziara hiyo imefanyika tarehe 25/02/2025.
Kilwa Masoko
Anuani ya Posta: 160
Simu: 0672365354
Simu: 0672581557
Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa