• Malalamiko |
    • Anuani Zetu |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Kilwa District Council
Kilwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Mikakati ya Halmashauri
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Utumishi na Utawala
      • Elimu ya Msingi
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Usafi na Mazingira
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Biashara
      • TASAF
      • Lishe
      • Uvuvi
    • Miji Midogo
      • Masoko
      • Kivinje
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uwekezaji
    • Biashara na Viwanda
    • Madini
    • Uvuvi
    • Utalii
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Mikopo kina Mama na Vijana
    • Huduma za Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayo tekelezwa
  • Machapisho
    • Muongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Mifumo
    • PlanRep
    • FFARS
    • Prem
    • Salary Slip Portal

WAZIRI ULEGA ATOA MAAGIZO YA KUKAMILIKA KWA MIRADI YA MADAJA IFIKAPO SEPTEMBA 2025

Posted on: April 24th, 2025

Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kikazi ya kukagua maendeleo ya ujenzi na ukarabati wa miradi ya madaraja katika Wilaya ya Kilwa, katika ziara yake ya ukaguzi wa mradi ya madaraja Mkoa wa Lindi, ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali kurejesha miundombinu iliyoharibiwa na mvua zilizonyesha katika kipindi kilichopita.


Katika ziara hiyo, Mhe. Ulega alipata fursa ya kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa daraja la Somanga na Matandu ambapo ametoa maagizo kwa wakandarasi kuhakikisha kuwa ujenzi wa miundombinu hiyo unakamilika ifikapo Septemba 24, 2025, ili kuwezesha upatikanaji wa huduma za usafirishaji kwa wananchi bila vikwazo.


“Ninawataka wakandarasi wote kuhakikisha kuwa mradi huu unakamilika kwa ubora unaostahili na kwa muda uliopangwa, ili kurahisisha huduma za usafiri na kuinua maendeleo ya kiuchumi katika maeneo haya,” amesema Mhe. Ulega.


Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Mhe. Mohamed Nyundo, ameishukuru serikali ya Awamu ya Sita kwa juhudi zake za kuhakikisha kuwa miundombinu iliyoharibika inarejeshwa katika hali yake ya awali. Ambapo amebainisha ukamilishaji wa miradi hiyo utaleta manufaa makubwa kwa wananchi na kuimarisha uchumi wa eneo hilo


Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 04, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 11, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI. April 25, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • DC KILWA AITAKA JAMII KUDHIBITI UTUMIAJI WA PLASTIKI ILI KUYALINDA MAZINGIRA.

    June 05, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAKIMBIZWA KILOMETA 173 NA KUTEMBELEA MIRADI 13 YENYE THAMANI YA TSH BILIONI 11 WILAYANI KILWA.

    May 31, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAWEKA JIWE LA MSINGI ZAHANATI YA NJINJO KILWA.

    May 31, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAWEKA JIWE LA MSINGI KWENYE MRADI WA UJENZI WA MNADA WA MIFUGO KILWA

    May 31, 2025
  • Tazama Zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Akipokea Mwenge wa Uhuru.
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • TARURA GPN
  • Watumishi Portal
  • MIKOPO 10%
  • Mikopo ya Wanawake na Vijana
  • Huduma za Elimu

Tovuti Muhimu

  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu
  • Lindi

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani Zetu

    Kilwa Masoko

    Anuani ya Posta: 160

    Simu: 0672365354

    Simu: 0672581557

    Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Kanuni Binafsi
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa