Wananchi wa kijiji cha Mavuji kilichopo kata ya Mandawa Wilayani Kilwa wameishukuru Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kutenga fedha kiasi cha Tsh milioni 560.5 kwa ajili ya ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari Mavuji.
Pia wamewashukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Kilwa Bi. Hanan Bafagih kwa kusimamia pesa za Serikali na kihakikisha thamani ya Fedha za Serikali inaonekana.
Wamesema shule hiyo imesaidia kutatua changamoto ya wanafunzi kutembea umbali wa zaidi kilomita 30 hadi kufikia shule ya Sekondari Mpunyule
Kilwa Masoko
Anuani ya Posta: 160
Simu: 0672365354
Simu: 0672581557
Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa