Wenyeviti wa Vijiji, Wenyeviti wa Vitongoji na Wajumbe wa Halmashauri ya Wijiji Wilayani Kilwa wameapishwa rasmi kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa majukumu leo tarehe 29 Novemba 2024 katika tarafa 5 za Wilaya ya Kilwa. Viongozi hao wamesisitiza kuwa wawajibikaji, waadilifu na wenye kuleta chachu ya maendeleo katika maeneo yao.
Kilwa Masoko
Anuani ya Posta: 160
Simu: 0672365354
Simu: 0672581557
Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa