kwenye shule 5 kilwa.Kwenye picha kaimu mkuu wa wilaya kilwa Mh.Shaibu Ndemaga (Mkuu wa wilaya manispa ya lindi) akipokea msaada huo kutoka kwa BI. Janeth Shango Meneja wa Kanda ya kusini benki ya NMB, mabati 350,viti100 Meza 100 pamoja na madawati 50. Mgawanyo wa vifaa ivyo. Kilwa sekondari viti 50 na Meza 50, shule ya msingi pungutini madawati 50 shule msingi Somanga mabati 200, shule ya msingi kiswere mabati 150 pamoja na shule ya sekondari kiranjeranje viti 50 na Meza 50.
Kilwa Masoko
Anuani ya Posta: 160
Simu: 0672365354
Simu: 0672581557
Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa