• Malalamiko |
    • Anuani Zetu |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Kilwa District Council
Kilwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Mikakati ya Halmashauri
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Utumishi na Utawala
      • Elimu ya Msingi
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Usafi na Mazingira
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Biashara
      • TASAF
      • Lishe
      • Uvuvi
    • Miji Midogo
      • Masoko
      • Kivinje
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uwekezaji
    • Biashara na Viwanda
    • Madini
    • Uvuvi
    • Utalii
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Mikopo kina Mama na Vijana
    • Huduma za Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayo tekelezwa
  • Machapisho
    • Muongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Mifumo
    • PlanRep
    • FFARS
    • Prem
    • Salary Slip Portal

MWENGE WA UHURU WAWEKA JIWE LA MSINGI KWENYE MRADI WA UJENZI WA MNADA WA MIFUGO KILWA

Posted on: May 31st, 2025

Kijiji cha Njinjo wilayani Kilwa kimeanza ujenzi wa mnada wa Mifugo ambao hadi kukamilika kwake kunatarajiwa kugharimu kiasi cha Milioni 106 ambapo kwa wastani Ng'ombe 1000, Mbuzi na Kondoo 40 huuzwa kwa mwezi.


Awali msimamizi wa mradi ndugu Abdallah Masaki amesema ujenzi wa mradi huu umepangwa kufanyika kwa awamu mbili ambapo awamu ya kwanza itahusisha ujenzi wa ukuta tofali wenye ukubwa wa mita za mraba 5,000 , mageti na pakilio na awamu ya pili itahusisha ujenzi wa vyoo, kibanda cha mlinzi na mtoza ushuru pamoja na uwekaji wa taa ambapo ujenzo wa uzio na mageti umegharimu Shilingi Milioni 74 na awamu pili utaanza mwaka wa fedha 2025/2026 kwa bajeti iliyopangwa ya shilingi Milioni 32 na inakadiriwa kuwa ujenzi wa mnada huu hadi kukamilika kwake utagharimu Milioni 106 .


Mradi huu unatajwa kuwa na faida kadhaa ikiwemo kuongeza mapato ya kijiji, Halmashauri na serikali kuu kupitia ada na tozo , kuwepo kwa soko la uhakika la mifugo kutokana na ushindani wa wanunuzi, kusaidia katika udhibiti wa magonjwa ya wanyama na kuzuia upotevu wa mifugo .


Kiongozi wa Mbio za Mwenge Ndugu Ismail Ali Ussi amepongeza Kijiji na Halmashauri kwa kubuni mradi huo mkubwa na wenye tija kwa wananchi .


Kwasababu ya ubunifu wa mradi na tija yake kwa jamii pamoja na kuzingatia vigezo kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa ameridhia kuweka jiwe la msingi mradi huo .


Aidha, ametumia fursa hiyo kuwasisitiza wananchi kujitokeza kwenda kupiga kura kuchavua viongozi wanaowahitaji muda utakapofika.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI HALMASHAURI YA WILAYA YA KILWA September 03, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 04, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 11, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • BARAZA LA BIASHARA KILWA KUIBUA FURSA MPYA ZA UWEKEZAJI KUPITIA BANDARI YA UVUVI.

    October 08, 2025
  • MPR WAENDELEA KUSISITIZA UHIFADHI WA RASILIMALI ZA BAHARI KILWA

    October 08, 2025
  • TAASISI YA UMOJA PAMOJA YAENDELEA KUBORESHA MAZINGIRA YA MICHEZO KWA VIJANA KILWA

    October 07, 2025
  • ZIMEBAKI SIKU 22 KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WA 2025

    October 07, 2025
  • Tazama Zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Akipokea Mwenge wa Uhuru.
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • TARURA GPN
  • Watumishi Portal
  • MIKOPO 10%
  • Mikopo ya Wanawake na Vijana
  • Huduma za Elimu

Tovuti Muhimu

  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu
  • Lindi

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani Zetu

    Kilwa Masoko

    Anuani ya Posta: 160

    Simu: 0672365354

    Simu: 0672581557

    Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Kanuni Binafsi
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • Situs Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Toto Slot
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • toto
  • Toto 4D
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • KOI200
  • situs toto
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • situs slot
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • slot gacor
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • dora77
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88
  • aero88