• Malalamiko |
    • Anuani Zetu |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Kilwa District Council
Kilwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Mikakati ya Halmashauri
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Utumishi na Utawala
      • Elimu ya Msingi
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Usafi na Mazingira
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Biashara
      • TASAF
      • Lishe
      • Uvuvi
    • Miji Midogo
      • Masoko
      • Kivinje
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uwekezaji
    • Biashara na Viwanda
    • Madini
    • Uvuvi
    • Utalii
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Mikopo kina Mama na Vijana
    • Huduma za Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayo tekelezwa
  • Machapisho
    • Muongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Mifumo
    • PlanRep
    • FFARS
    • Prem
    • Salary Slip Portal

MKUU WA WILAYA YA KILWA AKUTANA NA VIONGOZI WA BMU KUJADILI CHANGAMOTO ZA UVUVI

Posted on: May 10th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Mhe.Mohamed Nyundo, amewataka wavuvi Wilayani Kilwa kuachana na uvuvi haramu unaoweza kuhatarisha kuongezeka kwa rasilimali za Bahari ikiwemo Samaki ili kusaidia kukua kwa uchumi na ustawi katika ya Sekta ya Uvuvi Wilayani Kilwa.

Kikao hicho kimefanyika tarehe 09/05/2025 katika Ukumbi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi (FDC) Kilwa, ambapo mhe. Nyundo amezungumza na Viongozi wa BMU na kujadili juu ya kutafuta suluhisho la kudumu kwa matatizo sugu ya uvamizi kwenye maeneo ya miamba darasa pamoja na uvuvi haramu unaoathiri ustawi wa mazingira ya baharini na kipato cha wavuvi halali.

Akizungumza na viongozi wa BMU, Mhe. Nyundo amesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya serikali na wadau wa sekta ya uvuvi katika kulinda rasilimali za bahari na kuhakikisha kuwa shughuli za uvuvi zinaendeshwa kwa mujibu wa sheria.

“Tunapaswa kushirikiana kwa karibu kuhakikisha kuwa tunatokomeza uvuvi haramu na uvamizi kwenye maeneo ya hifadhi ya bahari, hii ni kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho,” amesema Mhe. Nyundo.

Viongozi wa BMU waliwasilisha mapendekezo mbalimbali ikiwemo kuimarishwa kwa doria, elimu kwa jamii kuhusu madhara ya uvuvi haramu, pamoja na kushirikishwa zaidi katika maamuzi ya usimamizi wa rasilimali za bahari.

Kikao hicho ni sehemu ya jitihada za serikali ya Wilaya ya Kilwa katika kuimarisha usimamizi wa fukwe na kuendeleza uvuvi endelevu unaozingatia utunzaji wa mazingira.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 04, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 11, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI. April 25, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WAONGOZA WATALII KILWA WAPATIWA MAFUNZO YA KITAALAMU, WAASWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA UTALII

    May 23, 2025
  • TIMU YA UMITASHUMTA YA WILAYA YAAGWA KUELEKEA MASHINDANO YA NGAZI YA MKOA

    May 23, 2025
  • WATOA HUDUMA ZA UTALII WAPATA MAFUNZO NA KOICA, TAWA NA NCT ILI KUKUZA SHUGHULI ZA UTALII KILWA

    May 23, 2025
  • KILWA YAADHIMISHA SIKU YA NYUKI DUNIANI KWA KUTOA MAFUNZO YA UFUGAJI NYUKI

    May 22, 2025
  • Tazama Zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Akipokea Mwenge wa Uhuru.
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • TARURA GPN
  • Watumishi Portal
  • MIKOPO 10%
  • Mikopo ya Wanawake na Vijana
  • Huduma za Elimu

Tovuti Muhimu

  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu
  • Lindi

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani Zetu

    Kilwa Masoko

    Anuani ya Posta: 160

    Simu: 0672365354

    Simu: 0672581557

    Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Kanuni Binafsi
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa