MKUU WA WILAYA AWATAKA WANANCHI KUKITUNZA KITUO CHAO
Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Mhe.Christopher Ngubiagai amewataka wananchi wa Kata ya Chumo kutunza kitucho cha Afya kilichojengwa katika Kata yao.
"Hiki kituo ni Mali ya wananchi na wananchi ndio nyie, kila mmoja wenu ana nafasi kuhakikisha kituo hiki kinatunzwa kwa ajili ya manufaa ya wananchi wote" alisisitiza Mkuu wa Wilaya.
Kwa Upande wake kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Ndg. Abushiri mbwana amewajulisha wananchi hao kuwa tayari serikali imeshalipia Vifaa, madawa pamoja na watumishi wanane (
Kilwa Masoko
Anuani ya Posta: 160
Simu: 0672365354
Simu: 0672581557
Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa