Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa Ndg. Hanan Bafagih amefanya ziara ya kutembelea na kukagua ujenzi wa shule mpya ya Sekondari Namatungutungu unaoendelea kutekelezwa kijijini hapo
Katika ziara hiyo Mkurugenzi ambayo imefanyika tarehe 30/11/2023 aliambatana na baadhi ya wakuu wa idara na vitengo akiwemo Mkaguzi wa Ndani, Afisa Manunuzi, Mhandisi wa Wilaya na Mkuu wa Idara ya Uvuvi,Kilimo na Mifugo na kwa pamoja wameridhia kuwa mradi huo unatakiwa kukabidhiwa pindi ifikapo tarehe 15/12/2023
Kilwa Masoko
Anuani ya Posta: 160
Simu: 0672365354
Simu: 0672581557
Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa