Mkuu wa wilaya ya kilwa mheshimiwa Christopher Ngubiagai akipata maelezo kutoka kwa bi. Kuhusu Cheni yenye miaka 114 ambayo ilikuwa ikitumiwa na viongozi wa ngazi ya juu enzi za ukoloni
Sarafu za Kilwa ambazo zilikuwa zikitumika karne na karne zilizopita
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya kilwa Mhe. Abuu Mussa Mjaka akifurahi na baadhi ya watu kutoka wilayani kilwa katika maenyesho ya utamaudni wa watu wa mkoa wa lindi yanayoendelea katika kijiji cha makumbusho jijini dare s salaam
Viatu vya mbao (talawanda) vilivyokuwa vikitumika enzi za ukoloni ambavyo vipo katika banda la Halmashauri ya wilaya ya kilwa katika maenyesho ya utamaudni wa watu wa mkoa wa lindi yanayoendelea katika kijiji cha makumbusho jijini dare s salaam
Baadhi ya vifaa vilivyokuwa vikitumika enzi za ukoloni vikiwa katika banda la Halmashauri ya wilaya ya kilwa katika maenyesho ya utamaudni wa watu wa mkoa wa lindi yanayoendelea katika kijiji cha makumbusho jijini dare s salaam
Afisa utamaduni wilaya ya kilwa Bw. Emmanuel akifafanua jambo kwa wageni waliotembelea banda la Halmashauri ya wilaya ya kilwa katika maenyesho ya utamaudni wa watu wa mkoa wa lindi yanayoendelea katika kijiji cha makumbusho jijini dare s salaam
mgeni rasmi katika ufunguzi wa tamasha la utamaduni wa watu wa Lindi, Waziri wa Habari, sanaa , utamaduni na michezo Mhe. Harrison Mwakyembe akipata maelekezo kuhusu Samaki mkubwa ambaye alipatikana wilayani kilwa akiwa amekufa wilayani kilwa mwaka 2016.
Kilwa Masoko
Anuani ya Posta: 160
Simu: 0672365354
Simu: 0672581557
Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa