Ofisi ya Rais- TAMISEMi kwa kushirikiana na Wizara ya Afya na wadau mbalimbali inaadhimisha wiki ya unyonyeshaji wa maziwa ya mama ambayo hufanyika tarehe 1 hadi 7 Agosti kila mwaka.
Maadhimisho haya yana lengo la kusisitiza umuhimu wa kulinda, kuimarisha, na kuendeleza unyonyeshaji wa maziwa ya mama na kuweka msukumo wa kipekee katika kuunganisha nguvu ya wadau mbalimbali ili kufikia malengo ya maendeleo endelevu.
Maadhimisho ya mwaka huu yana Kauli mbiu inayosema “Thamini Unyonyeshaji:
Weka mazingira wezeshi kwa mama na mtoto”
Kilwa Masoko
Anuani ya Posta: 160
Simu: 0672365354
Simu: 0672581557
Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa