• Malalamiko |
    • Anuani Zetu |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Kilwa District Council
Kilwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Mikakati ya Halmashauri
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Utumishi na Utawala
      • Elimu ya Msingi
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Usafi na Mazingira
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Biashara
      • TASAF
      • Lishe
      • Uvuvi
    • Miji Midogo
      • Masoko
      • Kivinje
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uwekezaji
    • Biashara na Viwanda
    • Madini
    • Uvuvi
    • Utalii
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Mikopo kina Mama na Vijana
    • Huduma za Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayo tekelezwa
  • Machapisho
    • Muongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Mifumo
    • PlanRep
    • FFARS
    • Prem
    • Salary Slip Portal

KILWA YAADHIMISHA SIKU YA NYUKI DUNIANI KWA KUTOA MAFUNZO YA UFUGAJI NYUKI

Posted on: May 22nd, 2025

Katika kuadhimisha Siku ya Nyuki Duniani Tarehe 20 Mei, ya kila mwaka, Wilaya ya Kilwa imeungana na dunia nzima kwa kuendesha mafunzo ya siku mbili kwa wanachama wa kikundi cha uhifadhi wa mikoko (UWAMIKO) kilichopo Kilwa Masoko. Maadhimisho hayo yamefanyika kwa lengo la kuongeza uelewa juu ya ufugaji wa nyuki kama sehemu ya juhudi za kuhifadhi mazingira na kuongeza kipato kwa wananchi.

Siku ya kwanza ya maadhimisho ambayo ni tarehe 19 Mei, 2025 ilihusisha semina ya kitaalamu juu ya ufugaji wa nyuki ambapo jumla ya washiriki 25 kutoka kikundi cha UWAMIKO walipata nafasi ya kujifunza mbinu bora za ufugaji wa kisasa, faida za nyuki katika mazingira, pamoja na fursa za kiuchumi zinazopatikana kupitia bidhaa za nyuki.

Siku ya pili ambayo ndio siku ya kilele cha maadhimisho iliangazia utekelezaji kwa vitendo kupitia utundikaji wa mizinga ya nyuki katika maeneo ya hifadhi ya mikoko. Zoezi hilo lililenga kuwawezesha washiriki kutumia kwa vitendo maarifa waliyopata na kuanza hatua za awali za ufugaji wa nyuki katika mazingira yao.

Maadhimisho haya yameonesha namna jitihada za kijamii na za mazingira zinavyoweza kuunganishwa kwa njia endelevu. Kupitia ushirikiano kati ya wananchi na wadau wa maendeleo, Wilaya ya Kilwa inaendelea kuhamasisha shughuli za kiuchumi zinazolinda mazingira na kuchangia katika maisha bora ya wananchi wake.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI HALMASHAURI YA WILAYA YA KILWA September 03, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 04, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 11, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • KILWA DC YAANZA KWA KISHINDO SHIMISEMITA

    August 16, 2025
  • MTANDAO WA BMU WAELEZA FAIDA ZA ZIARA YA MAFUNZO MKOANI TANGA

    August 15, 2025
  • DED NA TIMU YA UFUATILIAJI KILWA WAFANYA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO

    August 14, 2025
  • KAMATI ZA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA MAJIMAJI KILWA ZAKUTANA KUJADILI MAANDALIZI YA SHEREHE HIZO

    August 13, 2025
  • Tazama Zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Akipokea Mwenge wa Uhuru.
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • TARURA GPN
  • Watumishi Portal
  • MIKOPO 10%
  • Mikopo ya Wanawake na Vijana
  • Huduma za Elimu

Tovuti Muhimu

  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu
  • Lindi

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani Zetu

    Kilwa Masoko

    Anuani ya Posta: 160

    Simu: 0672365354

    Simu: 0672581557

    Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Kanuni Binafsi
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa