" Wafanyabiashara wanaotaka kufanya Biashara zao kwa amani na wanataka kuapata faida halali waache kufikiria kutaka njia za magendo kwani Kilwa kwa sasa ni mahali salama" - Mkuu wa wilaya ya Kilwa Mhe. Christopher Ngubiagai akizungumza baada ya kukamata jahazi ambalo lilikua limebeba bidhaa za viwandani kutoka zanzibar na kutaka kuingia kwa njia ya magendo wilayani kilwa.
Bofya hapa https://youtu.be/uAAlE15Gz_k kuangalia jinsi jahazi ilivyo kamatwa. (video credit: Azam Media)
baadhi ya picha zikionyesha bidhaa mbalimbali baada ya kukamatwa.
Kilwa Masoko
Anuani ya Posta: 160
Simu: 0672365354
Simu: 0672581557
Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa