Kuelekea Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, litakaloanza Tarehe 28 Januari 2025 katika Majimbo ya Kilwa Kusini na Kilwa Kaskazini,
Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa imefanya usambazaji wa vifaa vya Bayometriki kwa Kata zote 23 za Wilaya ya Kilwa ili kufanikisha zoezi hilo.
Zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura litafanyika kwa muda wa siku saba (7) kuanzia tarehe 28 Januari 2025 hadi 03 Februari 2025 Katika Vijijini na Vitongoji vyote vya Wilaya ya Kilwa.
Kauli mbiu "Kujiandikisha Kuwa Mpiga Kura, ni Msingi wa Uchunguzi Bora"
Kilwa Masoko
Anuani ya Posta: 160
Simu: 0672365354
Simu: 0672581557
Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa