• Malalamiko |
    • Anuani Zetu |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Kilwa District Council
Kilwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Mikakati ya Halmashauri
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Utumishi na Utawala
      • Elimu ya Msingi
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Usafi na Mazingira
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Biashara
      • TASAF
      • Lishe
      • Uvuvi
    • Miji Midogo
      • Masoko
      • Kivinje
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uwekezaji
    • Biashara na Viwanda
    • Madini
    • Uvuvi
    • Utalii
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Mikopo kina Mama na Vijana
    • Huduma za Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayo tekelezwa
  • Machapisho
    • Muongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Mifumo
    • PlanRep
    • FFARS
    • Prem
    • Salary Slip Portal

DED KILWA AAHIDI MILIONI MBILI (2) KWA MSHINDI UMISSETA TIMU YA WILAYA.

Posted on: May 29th, 2025

Kufuatia Mashindano ya Umoja wa Michezo Shule za Sekondari (UMISSETA) yakimkoa yatakayofanyika Tarehe 30/05/2025. Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Ndg. Hemed S. Magaro ameahidi zawadi ya fedha Milioni 2 kwa Mshindi katika ngazi ya mkoa, huku akiitaka Timu ya Michezo UMISSETA ya Wilaya kuzingatia nidhamu na kujituma katika Mashindano yaliyo mbele yao, ili kupata ushindi mkubwa na kuiletea heshima Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa.


Ndg, Magaro ameyazungumza hayo tarehe 29 Mei 2025 katika Hafla ndogo ya kuipa Baraka na kuiaga timu hiyo iliyofanyika shule ya Kilwa Sekondari ambapo timu hiyo iliweka kambi ya siku tano (5) ili kujiandaa na mashindano ya Kimkoa.


Naye Afisa Elimu Sekondari Ndg.Kassim Mpanda amesema kuwa timu hiyo ipo tayari kwa maandalizi ya kuelekea Mashindao hayo ya Kimkoa, hivyo inatarajia kuanza safari yake tarehe 29 Mei 2025 kuelekea manispaa ya Lindi kwaajili ya mashindano.


Wakiwawakilisha wanamichezo wenzao Sofia Peter na Selemani Mwanya wameushukuru Uongozi wote kuanzia shule hadi Halmashauri kwa kuwasimamia katika michezo yote kuanzia ngazi ya wilaya hadi kuelekea mashindano ngazi ya mkoa, huku wakiahidi kuhakikisha wanarudisha ushindi mkubwa kwa kuzingatia nidhamu na kujituma kama walivyoelekezwa na viongozi wao.


Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 04, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 11, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI. April 25, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MWENGE WA UHURU WAKIMBIZWA KILOMETA 173 NA KUTEMBELEA MIRADI 13 YENYE THAMANI YA TSH BILIONI 11 WILAYANI KILWA.

    May 31, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAWEKA JIWE LA MSINGI ZAHANATI YA NJINJO KILWA.

    May 31, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAWEKA JIWE LA MSINGI KWENYE MRADI WA UJENZI WA MNADA WA MIFUGO KILWA

    May 31, 2025
  • DED KILWA AAHIDI MILIONI MBILI (2) KWA MSHINDI UMISSETA TIMU YA WILAYA.

    May 29, 2025
  • Tazama Zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Akipokea Mwenge wa Uhuru.
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • TARURA GPN
  • Watumishi Portal
  • MIKOPO 10%
  • Mikopo ya Wanawake na Vijana
  • Huduma za Elimu

Tovuti Muhimu

  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu
  • Lindi

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani Zetu

    Kilwa Masoko

    Anuani ya Posta: 160

    Simu: 0672365354

    Simu: 0672581557

    Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Kanuni Binafsi
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa