• Malalamiko |
    • Anuani Zetu |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Kilwa District Council
Kilwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Mikakati ya Halmashauri
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Utumishi na Utawala
      • Elimu ya Msingi
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Usafi na Mazingira
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Biashara
      • TASAF
      • Lishe
      • Uvuvi
    • Miji Midogo
      • Masoko
      • Kivinje
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uwekezaji
    • Biashara na Viwanda
    • Madini
    • Uvuvi
    • Utalii
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Mikopo kina Mama na Vijana
    • Huduma za Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayo tekelezwa
  • Machapisho
    • Muongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Mifumo
    • PlanRep
    • FFARS
    • Prem
    • Salary Slip Portal

DC KILWA AITAKA JAMII KUDHIBITI UTUMIAJI WA PLASTIKI ILI KUYALINDA MAZINGIRA.

Posted on: June 5th, 2025

Katika kuadhimisha Miaka 52 ya Siku ya Mazingira Duniani yanayofanyika kila tarehe 05 Mwezi Juni, Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Mhe Mohamed Nyundo ameitaka jamii wilayani Kilwa kushirikiana ipasavyo katika utunzaji wa Mazingira ikiwemo kuachana na matumizi ya mifuko ya plastiki inayopelekea uharibufu wa mazingira kwa kiasi kikubwa.


Ametoa wito huo tarehe 05 Juni 2025 katika maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani yaliyobeba kauli mbiu ya "Mazingira yetu ya Tanzania ijayo tuwajibike sasa, dhibiti matumizi ya plastiki" maadhimisho hayo yamefanyika Kiwanja cha Mkapa Kilwa Masoko ambapo yamemaliziwa na shughuli za usafi wa mazingira uliofanyika kwa siku 5 kuanzia tarehe 01 hadi 05 June 2025 kwa ushirikiano kati ya Watumishi na wananchi katika Mazingira ya Fukwe za bahari wilaya humo.


Pia Mhe. Nyundo amevitaka Vikundi vya usimamizi wa Fukwe za Bahari Kilwa (BMU)  kuratibu utengenezaji wa Virabu maalum vitakavyohusisha Watumishi,wanafunzi na Wananchi kwaajili ya kutekeleza shughuli za utunzaji wa mazingira hususani katika fukwe hizo za bahari lengo ikiwa ni kuhakikisha mazingira ya fukwe za bahari Wilayani Kilwa zinakuwa safi.


Nae Ndg. Abushiri Mbwana niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ametoa pongezi kwa watumishi na wananchi wilayani humo kwa muamko walioonyesha katika kushiriki zoezi la usafi wa kuondoa taka za plastiki katika maeneo ya fukwe za bahari Pia amewaomba kuendelea kujitoa katika shughuli za utunzaji wa mazingirana kwaajili ya kuimarisha usafi Wilaya Kilwa.


Akiwasilisha Risala iliyoandaliwa na kitengo cha Udhibiti wa taka ngumu na Usafi, Afisa Mazingira wilayani Kilwa Ndg. Paul Hilari amesema kuwa wamekuwa wakitumia njia mbalimbali katika kudhibiti matumizi ya vitu vya pastiki kwa kutoa elimu kwa jamii juu ya madhara ya plastiki, kutumia wadau wa utunzaji wa mazingira ikiwemo mmiliki wa kiwanda cha kuchakata plastiki aitwae (Nuru Mohamed) katika kutokomeza taka hizo na kuwa na utaratubu wa kufanya usafi kilwa jumamosi ya Mwisho wa Mwezi.


Mwisho Ndg. Hilari ameitaka jamii wilayani humo kuwaunga mkono wadau wa Uhifadhi wa mazingira wanaotumia taka za plastiki kuzichakata kama malighafi Viwandani kwani watasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza uchafuzi wa mazingira.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 04, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 11, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI. April 25, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • DC KILWA AITAKA JAMII KUDHIBITI UTUMIAJI WA PLASTIKI ILI KUYALINDA MAZINGIRA.

    June 05, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAKIMBIZWA KILOMETA 173 NA KUTEMBELEA MIRADI 13 YENYE THAMANI YA TSH BILIONI 11 WILAYANI KILWA.

    May 31, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAWEKA JIWE LA MSINGI ZAHANATI YA NJINJO KILWA.

    May 31, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAWEKA JIWE LA MSINGI KWENYE MRADI WA UJENZI WA MNADA WA MIFUGO KILWA

    May 31, 2025
  • Tazama Zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Akipokea Mwenge wa Uhuru.
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • TARURA GPN
  • Watumishi Portal
  • MIKOPO 10%
  • Mikopo ya Wanawake na Vijana
  • Huduma za Elimu

Tovuti Muhimu

  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu
  • Lindi

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani Zetu

    Kilwa Masoko

    Anuani ya Posta: 160

    Simu: 0672365354

    Simu: 0672581557

    Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Kanuni Binafsi
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa