• Malalamiko |
    • Anuani Zetu |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Kilwa District Council
Kilwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Mikakati ya Halmashauri
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Utumishi na Utawala
      • Elimu ya Msingi
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Usafi na Mazingira
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Biashara
      • TASAF
      • Lishe
      • Uvuvi
    • Miji Midogo
      • Masoko
      • Kivinje
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uwekezaji
    • Biashara na Viwanda
    • Madini
    • Uvuvi
    • Utalii
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Mikopo kina Mama na Vijana
    • Huduma za Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayo tekelezwa
  • Machapisho
    • Muongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Mifumo
    • PlanRep
    • FFARS
    • Prem
    • Salary Slip Portal

Wafugaji waliokaidi agizo la Dc kutiwa mbaroni

Posted on: June 6th, 2018

       Kilwa,     

Wafugaji walioingia kinyemela na wanao miliki makundi makubwa ya mifugo katika kijiji cha Nakiu wametakiwa kuhamisha mifugo yao na kuipeleka  sehemu zilkizotengwa kwa ajili ya mifugo.

Agizo hilo limetolewa jana juni 5 na mkuu wa wilaya ya kilwa Mhe. Christopher Ngubiagai alipokua akizungumza na wakazi wa kijiji hicho katika viunga vya Ofisi ya Kijiji cha nakiu kufuatia malalamiko ya wakulima kuharibiwa mazao yao.

Ngubiagai amesema serikali imetenga maeneo kwa ajili ya wakulima na wafugaji makusudi ili kuondo migogoro ambayo imekua ikijitokeza mara kwa mara.

mkuu wa wilaya ya kilwa Mhe. Christopher Ngubiagaio kichukua maelezo kutoka kwa baadhi ya Wafugaji wanao sadikika kuwa na idadi kubwa ya Mifugo katika kijiji cha Nakiu (Picha: Ally Ruambo)

Pia amewataka wafugaji kufuga kwa kutumia njia za kisasa ikiwemo kufuga mifugo kulingana na ukubwa wa eneo ili kuweza kuwatunza vizuri.

“Ndugu zangu ardhi haiongezeki ila Mifugo inaongezeka, nani anaweza kuniambia toka azaliwe amewahi kuona ardhi ikiongezeka? kwahiyo tufuge kulingana na eneo tuliokuwa nalo ndio njia pekee kujiepusha na migogoro lakini kama eneo lako dogo na una mifugo mingi lazima itakushinda na kwenda kuharibu mazao ya watu.

Na mimi sitakuwa na msamaha kwa yeyote  ambaye itathibitika kuwa mifugo yake imeingia na kufanya uharibifu katika shamba la mtu, kwa kua maeneo kwa ajili ya mifugo yapo na mimi siamini kama shamba linaweza kumfuata ng’ombe ila ng’ombe ndiye anayelifuata shamba” alisistiza Ngubiagai

Aidha Mhe. Ngubiagai amemuagiza Mkuu wa polisi Wilaya ya Kilwa kuwakamata na kuwafikisha katika vyombo vya sheria wafugaji wote ambao wamekaidi amri halali ya kuhamisha mifugo yao kutoka kijiji cha Nakiu na kuipeleka katika maeneo yaliyopangwa kwa ajili mifugo.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 04, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 11, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI. April 25, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATUMISHI LINDI WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA USHIRIKI WA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KUJIFUNZA

    June 22, 2025
  • WADAU MBALIMBALI KATIKA BANDA LA MKOA WA LINDI KWENYE MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA DODOMA

    June 21, 2025
  • MADIWANI KILWA WAAGWA KWA HAFLA YA HESHIMA

    June 19, 2025
  • HONGERA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILWA KWA KUPATA HATI SAFI YA CAG

    June 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Akipokea Mwenge wa Uhuru.
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • TARURA GPN
  • Watumishi Portal
  • MIKOPO 10%
  • Mikopo ya Wanawake na Vijana
  • Huduma za Elimu

Tovuti Muhimu

  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu
  • Lindi

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani Zetu

    Kilwa Masoko

    Anuani ya Posta: 160

    Simu: 0672365354

    Simu: 0672581557

    Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Kanuni Binafsi
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa