Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Mashimba Mashauri Ndaki amekutana na viongozi pamoja na wananchi Wilayani Kilwa kwenye ukaguzi wa eneo la ujenzi wa Bandari ya uvuvi ambayo itaanza kujengwa kuanzia 01-06-2022 katika eneo la kilwa masoko.
Aidha mhe,Ndaki ameeleza kuwa kwa awamu ya kwanza kiasi cha Bilioni 50 tayari kimeingizwa katika Ujenzi wa Bandari iyo na kuwahimiza Wananchi kuchangamkia fursa mbalimbali kutokana na ujio wa Bandari kubwa zaidi katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Kilwa Masoko
Anuani ya Posta: 160
Simu: 0672365354
Simu: 0672581557
Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa