Ujenzi ukiendelea katika kituo kipya cha Afya Hoteli Tatu ambapo yanajengwa majengo mawili kwa awamu ya kwanza Maabara pamoja na jengo la OPD (wagonjwa wa nnje) kituo kimepewa milioni 250.
Hayo yamesemwa na mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya kilwa Eston Ngilangwa wakati akikagua maendeleo ya Ujenzi huo.
Kilwa Masoko
Anuani ya Posta: 160
Simu: 0672365354
Simu: 0672581557
Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa