• Malalamiko |
    • Anuani Zetu |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Kilwa District Council
Kilwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Mikakati ya Halmashauri
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Utumishi na Utawala
      • Elimu ya Msingi
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Usafi na Mazingira
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Biashara
      • TASAF
      • Lishe
      • Uvuvi
    • Miji Midogo
      • Masoko
      • Kivinje
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uwekezaji
    • Biashara na Viwanda
    • Madini
    • Uvuvi
    • Utalii
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Mikopo kina Mama na Vijana
    • Huduma za Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayo tekelezwa
  • Machapisho
    • Muongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Mifumo
    • PlanRep
    • FFARS
    • Prem
    • Salary Slip Portal

Mamia wajitokeza mazishi ya Diwani wa Mitole

Posted on: September 29th, 2018

Kilwa,

           Mamia ya wananchi wamejitokeza katika mazishi ya Diwani wa Kata ya Mitole Mhe. Saidi Rashidi Mnyamba.

Mnyamba alifikwa na umauti usiku wa Septemba 28 katika Kituo cha Afya Njinjo alipokuwa akipatiwa Matibabu ya ugonjwa wa Kujaa Maji katika Mapafu.

Marehemu Saidi Rashidi Mnyamba alizaliwa Januari 1 Mwaka 1960 katika kijiji cha Mitole, Kata ya Mitole Wialaya ya Kilwa na kupata elimu ya Msingi katika Shule ya Msingi Mitole na baadae alijunga na Chuo cha Ualimu Kitangali na Chuo cha Ualimu Nachingwea.

Mwaka 1981 aliajiriwa kama Mwalimu wa Shule ya Msingi ambapo alifundisha shule ya msingi Miguruwe 1981-1990, Shule ya Msingi Kandawale 1990-2007 na Shule ya Msingi Njinjo 2008 hadi 2014 ambapo alistaafu.

Baada ya kustaafu alijikita katika Siasa  ambapo Oktoba 2015 alifanikiwa  kushinda nafasi ya udiwani wa Kata ya Mitole kwa tiketi ya  Chama cha Mapinduzi nafasi ambayo ameihudumu mpaka umauti unamfika Septemba 28, 2018.

Marehemu Saidi Rashidi Mnyamba ameacha Mjane Mmoja na Watoto Kumi.

Mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu Saidi Rashidi Mnyamba Mahali pema peponi .

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 04, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 11, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI. April 25, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATUMISHI LINDI WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA USHIRIKI WA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KUJIFUNZA

    June 22, 2025
  • WADAU MBALIMBALI KATIKA BANDA LA MKOA WA LINDI KWENYE MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA DODOMA

    June 21, 2025
  • MADIWANI KILWA WAAGWA KWA HAFLA YA HESHIMA

    June 19, 2025
  • HONGERA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILWA KWA KUPATA HATI SAFI YA CAG

    June 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Akipokea Mwenge wa Uhuru.
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • TARURA GPN
  • Watumishi Portal
  • MIKOPO 10%
  • Mikopo ya Wanawake na Vijana
  • Huduma za Elimu

Tovuti Muhimu

  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu
  • Lindi

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani Zetu

    Kilwa Masoko

    Anuani ya Posta: 160

    Simu: 0672365354

    Simu: 0672581557

    Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Kanuni Binafsi
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa