• Malalamiko |
    • Anuani Zetu |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Kilwa District Council
Kilwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Mikakati ya Halmashauri
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Utumishi na Utawala
      • Elimu ya Msingi
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Usafi na Mazingira
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Biashara
      • TASAF
      • Lishe
      • Uvuvi
    • Miji Midogo
      • Masoko
      • Kivinje
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uwekezaji
    • Biashara na Viwanda
    • Madini
    • Uvuvi
    • Utalii
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Mikopo kina Mama na Vijana
    • Huduma za Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayo tekelezwa
  • Machapisho
    • Muongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Mifumo
    • PlanRep
    • FFARS
    • Prem
    • Salary Slip Portal

Kilwa mshindi wa pili Bonanza la mkoa wa Lindi

Posted on: September 17th, 2018

Kilwa,

      Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa imeibuka Mshindi wa pili katika Bonanza lililo andaliwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa  wa Lindi lililofanyika katika uwanja wa ilulu mkoani lindi.

Akizungumza  baada ya kukabidhiwa zawadi za mshindi wa pili kutoka kwa washiriki wa Bonanza hilo Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Ndg. Renatus Mchau amewapongeza washiriki kwa kuiwakilisha vyema Halmashauri ya wilaya ya katika mashindano hayo na kuwataka waongeze juhudi katika mashindano mengine ili waweze kufanya vizuri zaidi.

Moja ya Cheti kilichotolewa kwa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa baada ya kuibuka washindi wa pili katika Bonanza lililo andaliwa na Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Lindi lililofanyika Septemba 15 katika Uwanja wa Ilulu mkoani Lindi ( Picha : Ally Ruambo)

Bonanza hilo lilishirikisha Taasisi za kiserikali, binafsi na Mashirika mbalimbali kutoka katika  Halmashauri za Mkoa wa Lindi ambapo Michezo mbalimbali ikiwemo  Mpira wa miguu ,kukimbiza Kuku, kukimbia katika Gunia, Riadha na mingineyo ilichezwa  ambapo Halmashauri ya wilaya ya kilwa iliibuka Mshindi wa pili huku Jeshi la Magereza likiibuka kinara wa Bonanza hilo.

Kwa upande wake Kiongozi wa Timu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ndg. Mtule  amewataka watumishi kujiandaa vyema ki mwili na akili kwa ajili ya Bonanza lingine linalotarajiwa kufanyika  Septemba 23 Wilayani Kilwa ambapo Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa itakuwa mwenyeji wa Halmashauri ya Mtwara (Mtwara Dc).

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 04, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 11, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI. April 25, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • BANDARI YA UVUVI KILWA KUKAMILIKA MWEZI JUNI 2025

    May 08, 2025
  • KAMATI YA SIASA YA CCM MKOA WA LINDI YAIPONGEZA KILWA KWA UTEKELEZAJI WA ILANI

    May 07, 2025
  • KILWA YAPIGA HATUA KATIKA KUTOKOMEZA UKATILI WA KIJINSIA DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO

    May 06, 2025
  • WANANCHI, WANAFUNZI NA WATUMISHI KILWA WAJITOKEZA KWA MAZOEZI YA PAMOJA UWANJA WA MWENGE/TAIFA

    May 03, 2025
  • Tazama Zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Akipokea Mwenge wa Uhuru.
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • TARURA GPN
  • Watumishi Portal
  • MIKOPO 10%
  • Mikopo ya Wanawake na Vijana
  • Huduma za Elimu

Tovuti Muhimu

  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu
  • Lindi

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani Zetu

    Kilwa Masoko

    Anuani ya Posta: 160

    Simu: 0672365354

    Simu: 0672581557

    Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Kanuni Binafsi
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa