• Malalamiko |
    • Anuani Zetu |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Kilwa District Council
Kilwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Mikakati ya Halmashauri
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Utumishi na Utawala
      • Elimu ya Msingi
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Usafi na Mazingira
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Biashara
      • TASAF
      • Lishe
      • Uvuvi
    • Miji Midogo
      • Masoko
      • Kivinje
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uwekezaji
    • Biashara na Viwanda
    • Madini
    • Uvuvi
    • Utalii
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Mikopo kina Mama na Vijana
    • Huduma za Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayo tekelezwa
  • Machapisho
    • Muongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Mifumo
    • PlanRep
    • FFARS
    • Prem
    • Salary Slip Portal

Baraza la Madiwani Halmashauri ya wilaya ya Kilwa leo Tarehe 11.02.2024 limejadili na kuridhia kupitisha Rasimu ya Bajeti ya Idara mbalimbali kwa ajili ya utekelezaji wa Maendeleo kwa Mwaka 2024/2025

Posted on: February 11th, 2024

Baraza la Madiwani Halmashauri ya wilaya ya Kilwa leo Tarehe 11.02.2024 limejadili na kuridhia kupitisha Rasimu ya Bajeti ya Idara mbalimbali kwa ajili ya utekelezaji wa Maendeleo kwa Mwaka 2024/2025


Wajumbe wa Baraza hilo wamesema kuwa wanaamini Bajeti hiyo itasaidia kuimarisha utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya Maendeleo ya wilaya hiyo hususani katika miundombinu ya Maji, Barabara,elimu pamoja na huduma nyingine za kijamii

Aidha Madiwani hao wamewataka wafanyakazi wa TARURA wilaya kutembelea na kukagua miundombinu ya Barabara iliyoathiriwa na Mvua zinazoendelea kunyesha kwa lengo la kuzifanyia tathimini pamoja na kurekebisha sehemu zote zilizoharibika


Kwa upande wake Katibu Tawala wa wilaya ya Kilwa Yusuph Mwinyi amewataka viongozi wa Wilaya hiyo kuendelea kuwahimiza wananchi waendelee kuchukua tahadhari za Mvua zinazoendelea kunyesha pamoja na athari zake katika maeneo mbalimbali ya wilaya ya Kilwa


Mwinyi ameyasema hao alipokuwa akitoa salamu za serikali katika Baraza la Madiwani, pia amewataka watumishi wa wilaya hiyo kushirikiana katika kuhakikisha maendeleo ya Wananchi yanaimarika ipasavyo.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 04, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 11, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI. April 25, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • KILWA YAPOKEA PIKIPIKI 11 KWA AJILI YA CHANJO NA HUDUMA MBALIMBALI ZA MIFUGO.

    July 11, 2025
  • SERIKALI KUENDELEA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI KWA NGO's LINDI

    July 10, 2025
  • SERIKALI YAFANYA UKAGUZI WA MIRADI YA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WILAYANI KILWA

    July 09, 2025
  • HALMASHAURI YA KILWA YADUMISHA USHIRIKIANO NA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI KUPITIA JUKWAA LA PAMOJA

    July 01, 2025
  • Tazama Zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Akipokea Mwenge wa Uhuru.
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • TARURA GPN
  • Watumishi Portal
  • MIKOPO 10%
  • Mikopo ya Wanawake na Vijana
  • Huduma za Elimu

Tovuti Muhimu

  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu
  • Lindi

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani Zetu

    Kilwa Masoko

    Anuani ya Posta: 160

    Simu: 0672365354

    Simu: 0672581557

    Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Kanuni Binafsi
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa