Thursday 31st, October 2024
@BANDARI ZOTE ZA UVUVI NDANI YA WILAYA YA KILWA.
KUANZIA TAREHE 23/03/2018 HADI TAREHE 26/03/2018 KUTAKUA NA ZOEZI LA SENSA YA UVUVI KWENYE BANDARI ZOTE ZA UVUVI NDANI YA WILAYA YA KILWA, WAVUVI WOTE WANATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KWA MAAFISA WATAKAO SIMAMIA UENDESHAJI WA ZOEZI HILI,
Kilwa Masoko
Anuani ya Posta: 160
Simu: 0672365354
Simu: 0672581557
Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa