Halmashauri ya wilaya ya kilwa ina wananchi wengi ambao wamejikita katika sekta ya Biashara. Wafanya biashara hao wanafanya biashara mbalimbali kama vile nafaka, nguo ,vyakula, nk shughuli ambazo zinasaidia kujenga uchumi wa wananchi na halmashauri kwa ujumla.
Kilwa Masoko
Anuani ya Posta: 160
Simu: +255 23 201 3241/65
Simu: 0672581557
Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa