Karibu katika tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, mahali ambapo utapata taarifa muhimu na utakazohitaji, kama vile mipango ya Maendeleo na utekelezaji wake kwa kila mwaka. Hizi zote ni jitihada za pamoja kati ya Waheshimiwa Madiwani , Watumishi , Jamii na wadau mbalimbali, katika kuleta matokeo chanya kwa wananchi wa Kilwa.
Kilwa Masoko
Anuani ya Posta: 160
Simu: +255 23 201 3241/65
Simu: 0672581557
Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa