• Malalamiko |
    • Anuani Zetu |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Kilwa District Council
Kilwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Mikakati ya Halmashauri
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Utumishi na Utawala
      • Elimu ya Msingi
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Usafi na Mazingira
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Biashara
      • TASAF
      • Lishe
      • Uvuvi
    • Miji Midogo
      • Masoko
      • Kivinje
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uwekezaji
    • Biashara na Viwanda
    • Madini
    • Uvuvi
    • Utalii
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Mikopo kina Mama na Vijana
    • Huduma za Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayo tekelezwa
  • Machapisho
    • Muongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Mifumo
    • PlanRep
    • FFARS
    • Prem
    • Salary Slip Portal

Idadi ya waathirika yafikia elfu tisa Kilwa

Posted on: January 30th, 2020

 

 

Idadi ya waathirika yafikia elfu  tisa Kilwa

  • .wadau waanza kujitokeza kutoa misaada
  • Ikiwa ni siku ya sita tangu yalipojitokeza mafuriko katika Wilaya ya Kilwa , idadi ya waathirika imeendelea kuongezeka kutoka elfu nne mpaka kufikia Zaidi ya watu elfu tisa wanaishi katika kambi mbali mbalia za kuwahudumia wahanga wa mafuriko.
  • Mpaka sasa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya pamoja na ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji imepokea misaada mbali mbali ya kijamii ambapo mpaka leo tarehe 31 Januari  shirika la kikristo linalowahudumia wakimbizi la Tanganyika Christian Refugee Service (TCRS) limekabidhi nguo marobota mia tatu kwa ajili ya wahanga wa mafurika.
  • Misaada hiyo imekabidhiwa kwa Mkuu wa Wilaya Mhe.Christopher Ngubiagai na Afisa Miradi anayesimamia Ushauri na dharura  kutoka TCRS Bi.Teddy Deo katika ofisi za Halmashauri ya Wilaya ambapo ameahidi kuendelea kutoa misaada ya kibinadamu ili kuendelea kuwapa  
  • Mkuu wa Wilaya amewapongea wadau hao na kuwaambia kwamba bado mahitaji ni makubwa na hasa ya chakula katika kambi hizo.
  • Akitaja idadi ya waathirika wanaohudumiwa katika kambi mbali mbali, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Ndg.Ally Ligalawike amezitaja kambi kumi za kuhifadhi wahanga  na idadi ya watu kwenye mabano kama ifuatavyo;
  • Kituo cha Njinjo watu (6440),Mitole watu (790),Kikole watu (93),Kiranjeranje watu (377),Pamoja naMakangaga watu (589).
  • Amevitaja vituo vingine vyenye watu kuwa ni,Ruhatwe watu (550),Matandu watu (663),Nakiu watu (126)
  • ,Kigombo watu (134) na Likumla  watu (98) na kufanya jumla ya watu wanaohudumiwa kufikia watu 9,860.
  • Kaimu Mkurugenzi huyo ameendelea kutoa wito kwa wadau mbali mbali kuendelea kutupia macho Wilaya ya Kilwa kwani madhara ni makubwa sana kutokana na miundombinu na makazi ya watu kuathirika kwa kiwango kikubwa ambapo amezitaja changamoto zinazohitaji msaada wa haraka kuwa ni Chakula, Nguo, madawa, maji safi na salama, mahema ya Kuishi pamoja na vyombo vya usafiri kama magari na mafuta kwa ajili ya kuwawezesha kuwafikia wahanga wanaohudumiwa kila siku.

Matangazo

  • Orodha ya wasimamizi wa uchaguzi mdogo wa Madiwani kata ya Kivinje,Miteja,Somanga na Mitole November 26, 2018
  • Nafasi ya kazi boresha afya December 19, 2018
  • Fomu za maelezo ya kujiunga na kidato cha tano 2018 Kilwa sekondari & Ilulu sekondari June 20, 2018
  • Kliniki ya Kisukari na Shinikizo la Damu (Pressure) July 18, 2018
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Silinde apongeza ujenzi wa madarasa kilwa

    February 16, 2021
  • Msiwabambikie wananchi bili za Maji- Ngubiagai

    February 09, 2020
  • WAZIRI MKUU AWATAKA WANANCHI KUHAMA MAENEO YA MABONDENI KUEPUKA MAAFA

    February 05, 2020
  • Idadi ya waathirika yafikia elfu tisa Kilwa

    January 30, 2020
  • Tazama Zote

Video

Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Akipokea Mwenge wa Uhuru.
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • TARURA GPN
  • Watumishi Portal
  • Mikopo ya Wanawake na Vijana
  • Huduma za Elimu

Tovuti Muhimu

  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu
  • Lindi

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani Zetu

    Kilwa Masoko

    Anuani ya Posta: 160

    Simu: +255 23 201 3241/65

    Simu: 0713538141

    Barua pepe: ded@kilwadc.go.tz /ictsupport@kilwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Kanuni Binafsi
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa